Tỉnh Shimane, trước đây được biết đến với tên gọi Izumo, là nơi hội tụ của nhiều khu vườn Nhật Bản tuyệt mỹ — có những khu ...
島根縣古稱「出雲國」,擁有許多秀麗的日式庭園,其中有些承自傳統,有些則是近年所建。在足立美術館,遊客可欣賞到全日本最頂尖的庭園美景。幾百年來,島根地區發展出深厚的獨特文化,這不僅反映在「出雲式庭園」中,也體現在廣受當地居民喜愛、較平易近人的茶道文化上 ...
จังหวัดชิมาเนะเคยเป็นที่รู้จักในชื่ออิซูโมะ ที่นี่เป็นที่ตั้งของสวนญี่ปุ่นชั้นเลิศจำนวนมาก บางแห่งสร้างในสไตล์ดั้งเดิม บางแห่งก็สร้างขึ้นใหม่ในยุคหลัง ที่พิพิธภัณฑ์ศิลปะอาดาจิ ผู้เข้าชมจะได้พบกับหนึ่ง ...
Prefektur Shimane, yang dahulu dikenal sebagai Izumo, merupakan tempat bagi sejumlah taman Jepang yang luar biasa — sebagian tradisional, sebagian lagi ditata pada masa yang lebih baru. Di Museum Seni ...
Chama tawala cha Liberal Democratic, LDP, nchini Japani kimepata ushindi mkubwa wa kihistoria katika uchaguzi wa Baraza la Chini la Bunge.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy anasema nchi hiyo itafungua vituo 10 vya kuuza silaha nje hususan droni katika nchi za ...
Mshahara halisi nchini Japani umepungua kwa mwaka wa nne mnamo 2025 huku upandaji wa bei za walaji ukizidi nyongeza za ...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amempongeza Waziri Mkuu wa Japani, Takaichi Sanae, kwa ushindi wa muungano wake katika ...
Chombo cha habari chenye uhusiano na Chama cha Kikomunisti cha China kimeweka mtazamo wa mtaalam mmoja kwamba matokeo ya uchaguzi wa Februari 8 wa Baraza la Chini la Bunge la Japani, yataleta hatari m ...
Idadi ya wapiga kura waliojitokeza katika uchaguzi wa Februari 8 wa Baraza la Chini la Bunge, ilikuwa takriban asilimia 55.68. Idadi hiyo imeongezeka kutoka asilimia 53.85 katika uchaguzi mkuu uliopit ...
Japani imeshinda medali ya fedha Februari 8, Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milano Cortina 2026.
Chama tawala cha Bhumjaithai nchini Thailand kinatabiriwa kupata viti vingi zaidi katika uchaguzi mkuu wa Februari 8. Lakini hakuna uwezekano mkubwa wa kushinda viti vingi peke yake.